Sikia wosia wangu wa leo!!!

10:15:00 Unknown 0 Comments


1. USIMWAMINI MTU ULIYEMJUA UKUBWANI.

2.ANAYEJIFANYA ANAKUPENDA SANA CHUNGUZA UPENDO HUO KWA MAKINI.

3.ANAYEKULETEA HABARI FULANI KASEMA HIVI FIKIRIA YEYE ALISEMA NINI.

4.USITEGEMEE MTU AKATUNZA SIRI YAKO ILIYOKUSHINDA WEWE BINAFSI KUITUNZA.

5.MUOMBE MUNGU SANA ILI AKUPE MACHO YA ROHONI UMJUE MWEMA NA MBAYA WAKO.

6. KUMJUA ADUI NI KWA UWEZO WA MUNGU TU. 

7. ANAYEKUPENDA KWA DHATI UTAMUONA WAKATI WA SHIDA ZAKO.

8. HAKUNA ANAYEFURAHIA MAFANIKIO YAKO ZAIDI YA MAMA YAKO MZAZI 
9. MTHAMINI NA KUMJALI ALIYECHANGIA KUFIKA HAPO ULIPO. 

MPENDE MTU KWA MATENDO SIO MANENO.

You Might Also Like

0 comments: