Usiwe kama dodoki, ni tabia mbaya kwa mafanikio yako

16:20:00 Unknown 0 Comments

Dodoki hutumika sana na binadamu tulio wengi katika kuiosha na kuitakasa miili yetu.

lakini dodoki lina tabia moja mbaya na ya ajabu.

Dodoki hunyonya maji mengi ukiliweka kwenye maji na ukilinyayua hujichuja maji yote.

Mafano huu wa dodoki ni sawa na baadhi ya sisi watanzania ambao huwa wepezi wa kukariri mambo mazuri ya kuiga na hata kuwa wepesi wa kuyasahau kwa muda mfupi.

Ni bora ukawa na mambo machache unayoweza kuyamudu kwa ufasaha kuliko kuwa na mambo mengi unayoyashika kwa mara moja au unayotaka kuyafanya kwa wakati mmoja na mwishowe yote ukayashindwa.

Nakutakia mafanikio mema kwa kila ulifanyalo rafiki popote pale ulipo na kwa kila jambo ufanyalo lililo jema

Jioni njema!

You Might Also Like

0 comments: