Wanawake Ni SILAHA Hatari Sana Ambayo Hutumiwa Na SHETANI Kumwangamiza Mwanamume.
JE, WAJUA?
Wanawake Ni SILAHA Hatari Sana Ambayo Hutumiwa Na SHETANI Kumwangamiza Mwanamume.
ADAMU Aliangushwa Na Shetani Kupitia EVA (HAWA),
SAMSON.Aliangushwa Na Shetani Kupitia DELILA,
YOHANA Mbatizaji Aliuawa Kikatili Kupitia BINTI HERODIA.
YUSUFU Alifungwa MISRI Kupitia Mke Wa Mfalme.
Mfalme DAUDI Alianguka Kupitia BATSHEBA~ Mke Wa Uria.
Dokta love pimbi miaka yake yote amepata vichapo kwa ajili ya mwanamke
Fuledi alipata kisago juzi kwa ajili ya mwanamke
Mshahara wa Bob unateketea kw asababu ya mwanamke
Hapa na wewe unapoteza muda wako kusoma habari hi feki kwa sababu unataka kumfahamu mwanamke
Umakini Unahitajika Zaidi UKIONA Unaitwa HANDSOME Wakati Unajijua wewe Una sura Mbaya.
Ukiitwa BABY wakati Ni MZEE Wa Zaidi Ya Miaka 40...
Ukiitwa Portable Wakati Una Kilo zaidi ya 80.CHUKUA TAHADHARI.
sNaomba maoni yako kupitia hapa Comment basi.... Duh
0 comments: