Breaking neeeeeeeeeeeeeeeeeeeez Hatimaye MORGAN Atupa somo

13:47:00 Unknown 0 Comments

Morgan Brighton alikuwa amekaa kituoni akisubiri daladala impeleke kazini kwake jana asubuhi, na mfukukoni mwake alikuwa na shilingi 1000 tu.

Akiwa pale kituoni mara akatokea bibi mmoja na kumwambia, "mwanangu naomba unisaidie shilingi 500 nipande daladala na kwenda sokoni nikahangaike ili nipate chakula cha kula wajukuu zangu pale nyumbani"


Morgani akamjibu haraka yule bibi na kumwambia, " Bibi yangu ningeweza kukusaidia lakini nami hapa mfukoni nina 1000 tuu, ambayo ni yakulipa nauli sasa na jioni nitakapo rudi nyumbani na sina ujanja mwingine"

Lanini Morngan akafikiri kwa muda kisha akayakumbuka maneno yaliyopo kwenye kitabu cha dini yasemayo, " umebarikiwa ule mkono unaotoa kuliko ule unaopokea" mara moja akamfuata yule bibi na kumpa shilingi 500 bibi alifurahi na kumwambia kuwa atabarikiwa sana.

Jioni wakati Morgan anarudi nyumbani aliamua akae pale kituoni na kusubiri daladala ambayo anamfahamu mtu ili aweze kuomba msaada wa kurudi nyumbani.

Zilipita daladala nyingi bila ya mafanikio na akaona ngoja aanze kutembea taratibu. Hatua chache mbele akapokea sms ya kuwa amepokea kiasi cha shilingi 500,000 kutoka kwa rafiki yake aitwaye Fuledi.

Hakuamini ikambidi ampigie na kumuuliza kama amekosea ndipo fuledi akamwambia, " ni kweli nimekutumia maana tulitaka kuja kusherehekea x-mas huko na familia yetu ila kwa kuwa ratiba imeingiliana tafadhali pokea hiyo na mfurahie x-mas wewe na familia yako.

Morgani alitoa kiasi cha fedha na kukitumia kwa nauli huku akifurahi na mpaka sasa anaamini yule bibi aliyemsaidia amembariki sana.

Comment AMEN kubwa na kisha share kama unakubali na kuamini kuwa MUNGU huwabariki wale wanaotoa kuliko kupokea


Comment kwa kubofya HAPA

You Might Also Like

0 comments: