Amri kumi za kukumbukwa kwa mabinti wote single duniani
1. Usiharakishe kutoka nyumbani kwa wazazi wako kwa gia ya kwenda
kuolewa.
2. Usimsubiri
mwanaume mpaka aje ndio uanze kuishi. Unaweza kuishi maisha timilifu hata ukiwa huna
mwanaume.
3.Achana na pombe zimewauwa wenzako wengi kwa kisingizio cha kuondoa stress na wewe unaweza
kufa pia.
4. Usiwe mtu wa kuendekeza kuzipokea na kuzijibu namba ngeni
za simu hasa nyakati za usiku.. sio njia sahihi ya kupatia mpenzi.
5. Tengeneza
mazingira ya kuilinda afya. Jitahidi kunywa chai asubuhi maji mengi na acha kula vitu
vitamu
6. Vaa vizuri na
kiheshima. Watu watavutiwa na wewe ulivyo kabla ya kuongea nawe
7.Usitumie sex kama ndio mzani wa mapenzi.Unaweza ukaachika
tuu pamoja na penzi lako taamu.
8. Usiolewe na mtu
kwa sababu ya fedha; Utabakia kuwa mtumwa wake
9. Jiongezee ubora wako, Tafuta kazi.Usiwe mpuuzi ukaamini
mwanaume atatatua matatizo yako yote.
10. Jiheshimu sana kwa kuangalia namna ya uvaaji wa mavazi
yako na mwonekano wako mbele ya jamii…. Usitegemee kuvaa kimini ukutane na
mwanaume wa suti… wewe utampata wa milegezo na kubana pua tu.
Soma zaidi HAPA


0 comments: