Jaribu kukumbuka kama ulisoma shule za st.kayumba

11:21:00 Unknown 0 Comments



habari za mfagio na kidumu cha maji utakuwa si mgeni nazo... 

Hadithi za hawafu mwenye nguvu,Pamela na kipini,Siku ya gulio,Tola anakula gizani,Watoto wageuka mawe,Mkutano wa wanyama,Nani atamfunga paka kengele?

Muwa uliozamisha meli,Sadiki na Chitemo,Jogoo wa ajabu,Chopeko na Mnofu,Sizitaki mbichi hizi,Mpapai na mtete,Sikuelewi,Kuku na yai,hapo vipi si nimekurudisha enz zko hata kama ulikuwa hautaki.

You Might Also Like

0 comments: