Baadhi ya matokeo ya valentine ni kama ifuatavyo:-
1. Ujio wa mananchi wapya (Mimba za kutotarajia)
2. Maambuziki mapya ya Ukimwi
3. Ndoa kuvunjika
4. Watu kukurupuka mida ya asubuhi wakitokea gesti hausi
5. Pete za uchumba feki zilizotolewa
6.Mahusiano mapya yaliyozaliwa
7. Ulevi uliopindukia
8. Stress kuwa rafiki kwa baadhi ya wapenzi
9. Ajali barabarani hasa bodaboda kutokana na ulevi uliopindukia
10. Vingine elezea

0 comments: