Ukijaliwa kuwa Msichana mzuri na mrembo
Ukijaliwa kuwa Msichana mzuri na
mrembo,usidhani utatetemesha
kila Mwanaume,kuna wanaume na akili zao kichwani.
urembo wako hauwasumbui,kama
bichwa lako ni kanyaboya,uzuri wako hausaidii kitu,na utashangaa no one is paying attention,watu utakaowapata ni walewale kanyaboya wenzako,na hawana
futuretabaki unaliwa bure kila siku unatoa macho.
Ukipata mwanaume anakupenda
unaanza drama zako na kupiga watu
danadana,madai yako hujali na unadhani hata akiondoka utapata mwingine kisa wewe ni mzuri,la hasha!
Mwanaume akijitoa mhanga
kukupenda kwa uzuri wako mheshimu,maana viumbe wa kike wakiwa wazuri ni shida na matatizo hakuna mtu anataka,sasa
ukimwongezea na drama pamoja na
yeye kujigeuza mpalestina kwako utajikuta umeolewa na kioo cha chumbani kwako,
maana hicho ndo kinakudanganya sana kwamba we ni mrembo,Watch out,drama zina mwisho,leo
unacheza na mioyo ya watu unajiona we kifaa,usidhani wanaume hawaumii,tunaumia
sema hatusemi tu,machozi yetu kama ya samaki,tunalia ndani kwa ndani

0 comments: