ANGALIA PICHA YA SAMAKI WA AJABU ALIYEWAHI KUVULIWA BAHARI YA HINDI TANZANIA.

14:01:00 Unknown 0 Comments



NI AJABU NA INASTAJABISHA:Mchangamle kizimkazi,walikusanyika na kumshanga samakihuyu wa ajabu ambae wavuvi na wakazi wa maeneo hayo hawakuwahi kumwona,maana samaki huyu aelewiki ni CHUI, DUMA au ni nini.Nikaona nisistajabike mwenyewe nikuweke hapa wewe mpitiajiwa This is diamond upate kujua yanayoendelea Dunia. kwangu mimi ni ajabu sijawahi kuona kiumbe kama hicho.

You Might Also Like

0 comments: