Jamaa afumaniwa kweupeeeeee.... Ni asubuhi hiii.... kwa wambea tuu .....ruksa kusoma

08:57:00 Unknown 0 Comments



Kuna hotel moja hapa mtaani kwetu ambapo  muda huu jamaa kafumaniwa na mke wa mtu. 

Mwenye mke akasema haya nimewasamehe kwa hiyo wife twende nyumbani.

"Jamaa aliyefumaniwa kasema kaka nitajuaje umenisamehe toka moyoni??
Naomba hata unipige kidogo nijue nimesamehewa."

Naona jamaa anahisi kuna rafu yaweza mkumba

You Might Also Like

0 comments: