Jamaa sala zake zimejibiwa na sasa anamiliki kazi nzuri sana he he he
Fuledi alikuwa akisali usiku na mchana akimwomba Mungu siku moja Mungu akamtokea
Mungu: Mwanangu, nini unataka?
Fuledi Nahitaji kazi, gari kubwa na wanawake wengi pembeni yangu.
Mungu: Ni hayo tu mwanangu?
Fuledi: Ndio
Mungu: Maombi yako yamejibiwa mwanangu.
Fuledi: Asante Mungu.
Sasa Fuledi ni dereva wa basi la shule ya wasichana huko KILAKALA!.
Funzo
Tunatakiwa kuwa makini wakati tunapeleka sala zetu kwa Mungu kuhusu mahitaji yetu.
0 comments: