Jinsi ya kufanikiwa katika biashara zako

17:14:00 Unknown 0 Comments



1. Jenga uaminifu kwa wateja wako
2. Usitumie zaidi ya 25% ya pato lako kwa siku
3. Usiidharau kazi yoyote upewayo hata kama ina ujira mdogo kwani yaweza kukupa network nzuri mbeleni
4. Fanya kazi kwa muda muafaka
5.Jifunze kitu kipya na kukifanyia kazi

You Might Also Like

0 comments: