Makusanyo yaStatuses za Mwajei wall yake FB...

10:12:00 Unknown 0 Comments


.
Wow, nimempata laaziz wa maisha yangu, mahasidi mtashindwa, hakuna kitachoniachanisha nae
--199 likes, 208 comments 34 shares
.
.
15Days Later
Ktk maisha usimweke mtu juu wakati yeye anakuchukulia poa, nlimdhani ndiye siye...
.
.
3Days Later
Nachukia sana Mapenzi. Heri ntafte zangu Pesa.
.
6Days Later
Single lady, natumain kupata mwanaume wa kweli anayejua kukea
--You, Beka and 999 others like this.
.
.
2weeks Later
Ukizama kwenye penzi, unagundua aliyetangulia ni boya, hakujua kukea, mwanaume hana mbele wala nyuma, kazi kutumia magari ya kaka yake, boya tu, kwanza nahisi ni shoga boya wewe, sasa nina mwandani wa ukweli, nampenda sana, vizabizabina mtabaki mnatuone gere!! dedikesheni "Moyo wangu" by Daimondi, to you my Beka, xo xo (Hamida, Safia, Tabu and 289 others like this)
.
.
7Days Later
.
.
.
Nyambafu, All men are the Same. I will never date again!
- Beka Likes this!

You Might Also Like

0 comments: