Utafiti mwingine mpyaaaaaaaaa kabisa umezidi kuwaweka watanzania vifua mbele kwa ujanja duniani
Mtanzania na Mkenya waliingia Supermarket 1 DSM, walipotoka Mkenya akawa anajigamba kwamba Wakenya ni wajanja kuliko waTz huku akimwonyesha MTz Chokolet 3 alizoiba.
MTz akamshawishi warudi tena ili na yeye akamwonyeshe Ustadi wake, walipofika ndani MTz akamwambia Mhudumu "nataka nikuoneshe mazingaombwe, hebu niletee Chokolet 3", yule Mhudumu akaleta, Jamaa akazila zote mbele ya Mhudumu halafu akamwambia mhudumu "Unaona nimekula Chokolet 3 lkn amini usiamini Chokolet zako zote zipo mfukoni kwa huyu Jamaa, Mhudumu akamkagua Mkenya mfukoni akachukua Choklet zake zote 3.
Nani mjanja kati ya MTz na Mkenya?
0 comments: