MASWALI MENGINE MTATUUA

17:30:00 Unknown 0 Comments



1.Una Ma-Ex wangapi hadi leo??Ukimtajia,khaa wengi hivyo jamani,kwanini??

2.Na huyo Ex wako kwanini mliachana,nani alikuwa mkorofi kati yako wewe na yeye??

3.Unanipenda kweli au unataka kunichezea???Kwani we umekuwa mdoli jamani

4.Mara ya Mwisho kuduu ilikuwa lini??,khaa jamaniii...

5.Jamani,Unataka kudate na mimi au unataka Uanzishe Mboni Show ya Maisha yangu na kuandika Documentary???

You Might Also Like

0 comments: