SIFA KUU ZA MADEREVA BODABODA

00:04:00 Unknown 0 Comments




1. UCHAFU: wengi wao ni wachafu sana, makoti yao machafu. Hawapigi miswaki usiombe Akunong'oneze. Helmet zao chafu.

2. HAWAJUI SHERIA ZA BARABARANI: Wengi hawazingatii wala hawajui sheria za barabarani. Penye Dont yeye ni Do.

3. HAWANA MAADILI KWA WAKUBWA: Wengi wao ni watoto wadogo na wasiotaka kwenda shule, HUKO ndio kimbilio lao kwenye bodaboda.

4. HIGH SPEED: WANAMwendo kasi m'baya unosababisha ajali.

5. WIZI: Wengi wao Wamejikita kwenye wizi wa mali za abiria wao.

6. Utasikia anakwambia,unataka mwendo wa buku or buku mbili,ukisema wa buku basi atakukimbiza mpaka ukome

You Might Also Like

0 comments: