Soma kisa kilicho mfanya mzungu aanze kutumia maji mara aingiapo chooni
Mzungu alitembelea India, akashangaa kukuta wananchi wa kule wanatumia maji badala ya toilet paper.
Alipouliza tena kwa kutania utamaduni huu, mhindi mmoja akamkaribisha kwake kwa chakula cha jioni, chakula cha kihindi si unajua kilivyo na pilipili,
basi asubuhi yake mzungu wala hakuamrishwa na mtu mwenyewe alianza kutumia maji kwa jinsi moto ulivyomuwakia wakati akitoa pilipili.
0 comments: