TOFAUTI YA MPENZI WA KIZUNGU NA YA KIBONGO:
Mpenzi wa kizungu akikupigia simu usipopokea atakutext: 'Honey whats wrong, are you alright? I hope you are safe, call me back...Love You!!'
MPENZI WA KIBONGO, KOSA KUPOKEA SIMU YAKE
MSG ITAKAYOFUATA: 'Ww mshenzi! Uko na malaya wako? Umalaya utakuua mbwa wewe na mwaka huu ukimwi utakumaliza. Usinipigie sim na namba yangu futa...endelea na hao hao malaya wenzio.'
0 comments: