Baada ya kusikia hayo kwa mshtuko dokata akazirai na kufa papo hapo
Jamaa baaada ya kushinda bahati na sibu ya dola milioni kumi za kimarekani, wanae wakaamua wamtafute mshauri (daktari) ili aweze kumwandaa asiweze kufa kwa mshtuko kutokana na kuwa na shinikizo la moyo.Baada ya kufika kwa daktari mshauri mambo yakawa kama ifuatavyo.......
Daktari.....Hivi kama sikumoja unabaatika kupata dola milioni kumi utazifanyia nini?
Jamaaa.....Nitakupa Nusu yake.
Baada ya kusikia hayo kwa mshtuko dokata akazirai na kufa papo hapo
0 comments: