UKWELI MTUPU MATUMIZI YA FACEBOOK KWA DADA ZETU

23:14:00 Unknown 0 Comments


﹑Utakuta kajiunga facebook anaitwa SARAFINA MWAMBONGO hapo anakuwa poa xana ukimtumia friend request anaconfirm mda huo huo
Ukimtext inbox au ukipost kwa wall mda huo huo anakujibu
Analike na kucomment status na foto za wenzake

﹑Baada ya week or mwezi anachange jina anajiita PRETTY SARAH hapo kidogo anapunguza ushirikiano wa kujibu text kujib wall post hata kuconfirm request za watu na kwenye status unamuona mara chache

﹑Mda si mwingi utakuta anajiita SARAH MINAJ hapo sasa utaona anajifanya yy nick minaji kweli ukimtumia text anajibu baada ya week 2 ukimuuliza utaskia nipo busy nna text nyingi
Na wall yake anaifunga ili mtu asipost kwenye status humuoni labda umsifie

﹑Mara anachange tena SARAH DE CUTE GIRL hapo ukimtext kujibu ni bahati unamuona tu anaapload mapicha yake kabenua lidomo lake na kiuno chake huku kaacha mapaja na maziwa kayabenua
Unamsoma kwenye status za kina diamond,ommy dimpoz na bob junio yan anadili na mastar tu

﹑sasa hapo ndo kila mda utaona anachange profile pict na jina mara sarah de sugar cane,mara swtlicious sarah mara princes sarah yan daa mpaka noma utaona tu anachange kazi mara musician mara secretary mara modal mara actor yan balaa tupu

You Might Also Like

0 comments: