Binti apotea kisa Fesibuku
Jamani la mgambo,
'binti wa chuo apotea katika mazingira ya kutatanisha,chanzo ni facebook.
''kisa kilikuwa hivi binti alikuwa anachat na mkaka wa naijeria mpaka kufikia hatua ya kuwa wachumba, majuzi kati akamwomba sweet heart darlin aje tanzania kumvisit jamaa kakubali.
Wakafikia hoteli ya kifahari ,kuspend sana na shoping kwa wingi,jamaa akamtaka dada yetu waspend usiku pamoja,akakubaliwa.
usiku umefika jamaa anavua nguo kaoza sehemu zote zilizofunikwa na nguo funza na mafunyefunye yanatoka binti kuzimia kuzinduka anakutana na mabilioni akajua umasikini kwaheri,
kufika hosteli na kuwasimulia wenzake naye hapohapo akawa kama mpenziwe. Apelekwe hospitali akapotea.
haya jamani mafunzo hayo kazi ni kwetu wana Tabasamu na Fuledi kusuka au kunyoa tuwe makini na mitandao yetu
Na hadithi ikaishia hapa.
0 comments: