Utafiti mpya waonyesha kuwa watanzania wana akili kuliko mtu yoyote yule duniani

12:19:00 Unknown 0 Comments


Mzungu alisafiri na mbongo kwny ndege wakakaa siti moja,mzungu akamdharau sana mbongo nakujiona anajua kila kitu duniani!,akamwambia mbongo waulizane maswali na mbongo akishndwa anatoa sh.500 na endapo yeye atashndwa atatoa 10000.

Akauliza ni nchi ipi ilishndwa kwny vita kuu ya kwnz ya dunia? Mbongo akatoa 500 kuashiria hajui, na yeye akamuuliza mzungu ni kitu gani kikienda juu kina miguu minne na kikirudi chini kina miguu mitatu?

 Mzungu akafikiria akakosa jbu akatoa 10000 kuashiria hajui ila akataka kujua, akauliza ni nini hcho? 

Mbongo akatoa 500 kuashiria hata yeye hajui!.

You Might Also Like

0 comments: