Tafadhali soma maneno haya:

12:06:00 Unknown 0 Comments


Kama Mungu ameweza kukuongoza kutoka January mpaka December, Ataweza pia kukutoa kutoka katika umaskini na kuwa tajiri mwenye mafanikio, Kutoka katika kutoheshimika mpaka uheshimiwe;

Sio hayo tu bali ataweza kukutoa kutoka huzuri na kukupa furaha, kutoka kwenye kushindwa mpaka kuwa mshindi, kutoka katikas huzuni ya kukosa upendo katika familia mpaka familia yenye am,ani na upendo na kama haitoshi atautoa upweke wa kukosa marafiki wa kweli na kukupa marafiki watakao kujali wewe.

Mtegemee leo, kesho na hata milele na uone jinsi siku zako za kuishi hapa Duniani zitakavyojaa baraka, utukufu na mafanikio yasiyo na mipaka na adui zako wakijionea upendeleo huo.

You Might Also Like

0 comments: