UTAPELI WA CHINICHINI UNAOENDELEA KUWALIZA WADAU
Yamemkuta rafiki yangu.............soma
Mtu kanipigia simu na kusema haloo da sima habari me nkamjibu nzuri nani anaongea akasema Yusuphu mimi ok Yusuph habari kasema nzuri nkasema ok nkusaide Yusuph ..
Yusuph :Za ofisini kwako
Sima:Nzuri
Yusuph: Si unakumbuka nilikuambia nipo DODOMA
Sima: mhh hata sikumbuki embu nikumbushe vizuri
Yusuph: nilikuja ofisin kwako tukaongea sana siku hiyo ,nilikuja na kaka yangu alikuwa anatafuta housegirl kaka yangu ni Engineer INDUSTRIAL AREA mikocheni
Sima: ok
Yusuph:siku ile nilikuambia naenda dodoma kuna mradi wa kuchimba visima.
Sima :Ok japo nilikuwa sikumbuki manake ofsini kweu wateja wengi
Yusuph : sasa da sima huu mradi upo chini ya ofisi ........tunahitaji mtu wa kusupply dawa za kusafishia kisima kuna mtu alikuwa an supply hapa kaenda Ulaya nkamwambia boss wangu kuna dada sharp anaweza ifanya hii kazi ..
Sima : mhhhhh
Yusuph: sasa ntakupa number ya boss wangu mr .......atakuelekeza cha kufanya
baada ya mda boss wake Yusuph akapiga
Boss Yusuph ;ujambo?nimepewa number yako na Yusuph i hope kishuambia kila kitu
Sima:Ndio kanambia japo inahitja ufafanuzi sijaelewa kidogo na supply dawa ni tender au?nna apply wapi na dawa inahitwaje?qualiication ya mwomba tender je nione ka nnaqualify
Boss Yusuph:Hapana sisi twataka uwe ka dalali tu hayo ya ku apply au qualificatioacahana nayo sasa nakupa number ya Dr Erick mpigie mtajie dawa mwambie ka ataweza kuwa nazo piece 50
Sima: mhh hawa kweli ngoja nioe adi mwisho mbn siwajui lakini? number ya Dr Erick ikaumwa
Sima :Hallow Dr Erick mimi naitwa Sima ni mjasirimali mdogo naulizia dawa....zipo na nnaweza kupata kwa sh ngapi?
Dr Erick : zipo nsh...................
Sima: Naweza kupata piece 50?
Dr Erick : zipo wewe tu
Sima:Ofisi zenu ziko wapi? leo mpo adi sa ngapi?
Dr Erick: tupo huKu nyerere roadntakusubiri adi uje
ikabidi niangalie kwenye tigo pesa number nnazopiga ka ndo za wahusika nkawa nawatumia sh 100 tu jina halisi likaja la Yusuph tu mengine haka nkasema okk ngoja movie ianze
Share kuwashtua wenzako na soma maoni ya wadau hapa
0 comments: