Fuledi naomba tafadhali uipost hii maana naweza pata kesi au kujidhuru bure

17:24:00 Unknown 0 Comments

Hi admin

Naomba tafadhali uipost hii maana naweza pata kesi au kujidhuru bure

Sijui kwanini huyu mwanamke kanikera hivi yaani nime mhudumia yeye na mimba ya aliyedai kuwa mwanagu mpaka anajifungua na bado hadi leo hii miaka mitatu toka ajifungue nawahudumia pia.

Cha kushangaza ni asubuhi hii nimezifuma kadi tisa za kliniki za mtoto wangu zenye
majina ya baba tofauti

Nimedata na sijui nimfanyeje kwani sasa yupo kibaruani kwake.

Jamani nishaurini maana naweza pata kesi ya
mauaji leo jioni pindi arudipo maana najitahidi kunywa pombe lakini mawazo yanazidi na hasira pia

wenu ninayeweza ua mtu

You Might Also Like

0 comments: