Ujumbe kwa kina dada mnaovaa nusu uchi

17:24:00 Unknown 0 Comments



Mungu wetu ni waajabu sana kwani kila kitu kizuri na chenye thamani amekiweka sehemu ambayo haionekani kirahisi na pia inalindwa sana.

Kwa mfano Almasi hupatikana chini sana katika ardhi na pia huko haipatikani kirahisi kwani hujificha katika udongo wenye kuimarisha ulinzi wa almasi hiyo.

Dhahabu nazo zapatikana chini ya ardhi katika miamba zikiwa zimelindwa vilivyo na ni ngumu kuzipata.

Lakini nashangaa kuona wenzetu nyie hizo dhahabu na almasi zenu mnaziweka juu juu kirahisi kama vile udogo wa kukandia matofali,yaani nje nje tu jembe moja unakanda tofali.

Badilikeni

Nawasilisha hoja

You Might Also Like

0 comments: