Haki ya nani tena ukimdharau mwanamke unakutwa na jehanamu ya hapa duniani

05:24:00 Unknown 0 Comments


Henryalikuwa akiendesha gari lake kwa spidi na upande wa pili wa barabara Neema 

alikuwa pia akiendesha gari lake kurudi uelekeo aliotoka Henry.

Neema akafungua kioo cha gari lake na kumwambia Henry kwa sauti "FARASI" na Henry bila kuchelewesha naye kamjibu"FARASI MAMA YAKO" 

Huku akiwa karidhika na jibu alilompa Neema, Henry akaongeza sauti ya mziki, akafunga kioo cha gari lake na kuendelea na safari yake.

Mita chache mbele kuna farasi walikuwa wamemtoroka mkulima na wako barabarani mmoja wao akagongana na gari na kusababisha Henry kujeruhiwa.

Funzo

Wanaume wengi tunawadharau wanawake na kutoelewa ni nini wanajaribu kutuambia au kutufanyia katika maisha yetu na wengi twajikuta tukipatwa na majanga kama ya Hery katika familia zetu, kazi zetu na kwenye maisha ya kila siku

GOD BLESS WANAWAKE

You Might Also Like

0 comments: