Hivi ndivyo tunavyo ishi vijana wa mbeya

21:16:00 Unknown 0 Comments



1. Usimwamini mtu zaidi ya salamu yake

2. Kamwe usije pokea taarifa juu ya mtu fulani na kuziwekea maanani nyingi ni propaganda

3. Kila mtu anakupenda ukiwa nae ila sio ukisogea pembeni hatua mbili

4. Wengi tuna ndoto ambazo haziendani na matendo yetu

5. Kamwe usijisahau kama utapata mwaliko jua kuna movie itaendelea

6. Kila mmoja ni maarufu lakini usihoji umaarufu upi

7. Kila ukipata bahati ya kukaa na mtu usijaribu kuonyehs akutokubaliana nae wewe msifie tu ili uishi nae salama

8. Usije mshirikisha kitu lazima ageuke na kuwa adui

9. Tunapenda starehe kuliko kazi , hatupendi jitihada za wengine

10. Wachache sana ambao katika hadithi zao watasahu kumshirikisha sangoma

11. Ukiwa na hela kila mtu ni rafiki wa karibu

Usiamini huu ni uongo wa kuaminika, vijana wa mbeya ni marafiki na tunaishi kama ndugu

You Might Also Like

0 comments: