KWENU WANAWAKE SAMAHANII WANAUME:

14:00:00 Unknown 0 Comments



waogopen sana wanaume ambao wanakuwa na tabia ya kukupenda wakati wa kusex tu na akishamaliza mkaondoka hana muda na wewe tena,na mwanaume ambaye hajali hisia zako kipind una matatizo yeye hayupo au kuna matatizo ya kifamilia,au mwanaume ambaye anakujali kipindi anamatatizo tu na akimaliza matatizo yake hana muda na wewe kabisa,muogope mwanaume ambaye ni sharo hajui kufikiria kingine zaid ya kununua poda na kupaka na kununu supra na kunyoa kiduku,muogope sana mwanaume ambaye anajifanya yuko bize masaa yote ukimpigia simu anakupokelea kwa ukali na anakujibu kimkato kato sanyingne asipokee wala kukujibu sms zako, Muogope mwanaume ambaye anapenda starehe tu awazi future ya badaye hata siku moja...

Wasichana Mapenz hayalazimishwi hata siku moja usikubali kumpa mtu moyo wako akuchezee na acheze na feelings zako eti kisa Unampenda na ana Hela na Prado wapo wanaume wengi tu wanamapenzi ya kweli na ukiwakabidh moyo wako utayafurahia maisha ya mapenzi...Na mtambue kuwa kama Mwanaume akupendi hata ufanye nini hawezi kukupenda kuweni makini kwa hayo.

You Might Also Like

0 comments: