MAISHA ukiyajengea majibu chanya utakuwa na furaha siku zote!.

23:04:00 Unknown 0 Comments



Mfano ukimpigia simu mpenzi wako asipopokea, JIPE JIBU KUWA "AMESINZIA" HATA KAMA NI SAA 4 ASUBUHI.

Akikuta missd call zako lakini akaghairi kukutafuta JIPE JIBU "HANA SALIO"

Ukipiga tena ukakuta anaongea na m2, JIPE JIBU KUWA ANAONGEA NA "MZAZI" WAKE hata kama ni saa 6 uck.

Ukipiga tena akafunga cm JIPE JIBU KUWA CM YAKE "IMEISHIWA CHAJI"

Akifungua ukapiga akapokea akakujibu vibaya JIPE JIBU KUWA AMEKUMBWA NA "MSONGO WA MAWAZO"

vp umenisoma?

Dumisha furaha
daima upate
"UHURU WA NAFSI" siku zote

You Might Also Like

0 comments: