Makosa ambayo wanawake walio wengi huyafanya ...

15:16:00 Unknown 0 Comments



1.Kuamini kuwa mwanaume ndio atakaye yabadili maisha yake

2.Kuendelea kukaa katika mahusiano na mwanaume ambaye anamuumiza kila siku

3.Kukaa kwenye mahusiano kwa muda mrefu bila mahusiano hayo kuchukua hatua mpya mpaka unaonekana umepitwa na wakati!

4.KUangukia katika mahusiano na watu wasio sahihi wakati wale walio sahihi kuendelea kuwekwa katika "dawati la marafiki"


5.Kuamini kuwa kila mwanaume hapa duniani ni sawa na Ex wako

6.Kupoteza mwelekeo wa maisha kwa kuwa yule uliyempenda kakugeuka na kusahau maisha yanatakiwa kusonga mbele..

7.Kuwachukia wanaume wote kwa kuwa kuna mmoja alishakuumiza

8.Kuwaumiza mabinti wenzako kwa kuwachukulia furaha zao kwa manufaa na hila binafsi

9.Kuendelea kumkubali mpenzi wako kukuumiza. Umerudiana naye zaidi ya mara 50 na bado anakuumiza... wewe ndio mwenye tatizo na sio yeye tena..

10.Kuidharau post hii na kuendelea kuyarudia makosa haya tena na tena!

You Might Also Like

0 comments: