Ikifika mwaka 2020 wadada wote wa mjini watakuwa wanaumwa migongo

20:20:00 Unknown 0 Comments



Ikifika mwaka 2020 wadada wote wa mjini watakuwa wanaumwa migongo na wengine watakuwa wanatembelea mikongojo at the age of 35...
Siku hizi mdada haposti picha FB na Insta bila hili pozi....Na haya ndo mazoezi wanayochukua kabla
hawajapiga picha.

Ama kweli Fasheni itawaua....Halafu akishaposti picha yake ya mbinuko,hata kama ana viandazi tu
anavibinua halafu anaandika FINEASS GIRL

Mtaumwa uti wa mgongo nyie vimeo mnabinuka kama Fuso.

Pata vioja hivi kupitias email kwa kubofya hapa

You Might Also Like

0 comments: