Mambo 22 ya kuufanya uhusiano wa wapendanao udumu milele

08:11:00 Unknown 0 Comments



1. Tengeneza utaratibu wa kuwa mkweli
2. Kuwa mwelewa
3. Kuwa mwaminifu
4. Uwe mtu wa kufikiria mwenzako zaidi
5. Mheshimu mwenzako
6. Uwe rafiki wa kweli
7. Jivunie kuwa na mwenzako
8. Kuwa msaada kwa kwenzako
9. Bebeaneni mizigo yenu ya mawazo na kuitatua pamoja
10. Pata muda wa kuwa na mwenzako
11. Ongeeni mara kwa mara kama njia ya kuwasilisha hoja zenu
12. Aminianeni na kumtumainia Mungu katika uhusiano wenu
13. Yakubali makosa ya mwenzako
14. Ziheshimu fikra na jitihada za mwenzako
15. Pata muda wa kumsoma mwenzako na kumtimizia mahitaji yake
16. Pendaneni kwa upendo usio na mipaka
17. Pumzisha fikra za mwenza wako kwa kumpa zawadi za kushtukiza
18. Ongeeni wazi kuhusu mambo mabaya na mazuri katika mahusiano yenu
19. Tambua kuwa sio kila siku mtakuwa na furaha
20. Tambua mabishano na mifarakano haikwepeki
21. Samehe na kusahau makosa ya mwenza wako
22. Acha ya kale kuwa ya kale ukimjumuisha na mpenzi wako wa kale

Pata email zenye hadithi za fuledi kwa kubofya hapa

You Might Also Like

0 comments: