Wangapi watalisoma hili na kutilia maoni au ni wangapi watalidharau hili????
Wangapi watalisoma hili na kutilia maoni au ni wangapi watalidharau hili????
Ndio maana kwa Mungu wengi huitwa na ni wachache tuu ambao huteuliwa kufurahia utukufu wa Mungu.
Tafadhali naomba usome maombi yangu kwako katika mwaka huu...,
Kifo hakitakutembelea wewe na familia yako.
Hutaishi maisha ya kuumia au kuumizwa.
Hukuzaliwa kiajali hivyo hautapatwa na ajali katika mwaka huu.
Hutapokea habari za kusikitisha katika mwaka huu.
Mafanikio yatakuwa habari ys kawaida masikioni mwako kwa mwaka huu
Mungu atakufanya kuwa na furaha, anamani na upendo utaitawala nafasi kubwa katika moyo wako
Pata email zenye hadithi za fuledi kwa kubofya hapa
0 comments: