UKIONA HIVI JUA HAPA LAZIMA PANA USALITI!********SOMA
1. Simu yake kaifunga kwa password.
2. Kila ukiingia inbox unakuta hakuna sms hata moja au za kwako tu unazomtumia na za kutoka kwenye mtandao.
3. ukiangalia kwenye phone book yake utakuta majina ya ajabu ajabu mengine utakuta y ama x au kuna namba namba tu.
4. Kila mara ukimpigia simu anajifanya hakusikii na kusema yuko kwenye kelele wakati wewe husikii kelele.
5. Hataki ushike simu yake hata mara moja.
6. kila mkutanapo hupenda kuzima simu yake.
7. mara nyingi ukimpigia hapatikani na husingizia simu ilikuwa imekwisha chaji na wakati anatumia simu inayotunza chaji kwa muda mrefu.
8. Kama mtu akimpigia simu, akapokea wakati upo ataongea naye kwa hofu na kumpa majibu ya mkato na wakati mwingine ataogopa kutoka ili akaongelee mbali ili umwamini kuwa anaongea na mtu wa kawaida tu. baada ya kumaliza kuongea ukimuuliza ulikuwa unaongea na nani atajifanya hakusikia swali na kuitikia kwa kuguna ili urudie kuuliza wakati huo yeye anatafuta jibu la kukudanganya.
9. ukimbananisha baada ya kuhisi anakudanganya atajifanya na hasira na kutaka kukutishia kwa maneno fulani ya kutaka uhusiano wenu kuvunjika. na baadaye yanafuata maneno ya kujitetea kiujanja.
10. Kila mnapokuwa pamoja huwa anapenda kukutungia maneno ya kukutuhumu huku akifikiri vile anavyokufanyia ndivyo unavyomfanyia,kama ujuavyo mtenda akitendewa....
JIPANGE!!!!!!!!!!!!
like Tabasamu na Fuledi
0 comments: