Wapendwa , chukueni tahadhari sana, tena sana na msipuuzie
kuanzia sasa kamwe msije mkala vyakula kama :-
Burger,
Pizza,
Birian,
Pweza,
Kababu,
Chips
Kuku,
Sandwich,
Chops,
Supu ya
Maini,
Mishikaki ya kuku,
Meat Cake,
Mkate wa nyama nk.
Bila ya kukumbuka kunichukulia na mimi maana ndio mambo yangu hayo..(.....)
0 comments: