Wasichana wa siku hizi wajanja sana,wanajua ku-point ukweni hali ilivyo
Wasichana wa siku hizi wajanja sana,wanajua ku-point ukweni hali
ilivyo,unaweza kukaa nae kama wapenzi hata miaka 20 ila ndoa
hataki coz ashajua ukoo wenu sio anaoutaka anakulia Timing
akutafutie kosa akumwage....
Anakuuliza babako anafanya nini
unamjibu Mstaafu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na sasa hivi
amejiairi ni Mkulima wa Mananasi.,anajua kimenuka hajalipwa
mafao...Na mamako Je...Unamjibu Mwalimu,anajua atalishwa chaki
tu maana hali za Walimu twazijua.
Wanaogopa siku ya harusi muda wa zawadi Baba mkwe anakupa
zawadi ya Minazi ya shamba lake la Kibaigwa eti Kilimo ndo uti wako
wa mgongo,thubutuuu na Mama mkwe na walimu wenzie
wanakuja wanajirusha-rusha meno nje wamejitwisha Cherehani na
godoro la Banco..Sistaduu gani anataka kuwa Mkulima au Fundi
Cherehani kizazi hiki??
Ukiona umekataliwa ndoa ujue kuna mengi,utasikia mi bado
sijajipanga kumbe mdada anakwepa Wakwe na zawadi loko loko
kwenye harusi,atauzaje sura kwa Mashosti na Cherehani,unataka
achekwe kwenye DP za Blackberry???...
Wenzio Wanaota Funguo za Vitz kutoka kwa Baba Mkwe...Cheque ya Milioni 15 kutoka Kamati ya
Maandalizi...Washing Machines....Wakaka, ukiona dada anakuuliza
Wazazi wako wanafanya kazi gani waza mara 2 kabla hujajibu,tena
bora ujibu Babako Balozi wa China na Mama ni Afisa Uajiri Wizara ya
Kazi na Maendeleo ya Vijana,utamsikia 'Baby when is our wedding I
cant wait to be ur baby mama
0 comments: