Duh kuna wadada jamani noma sana yaaani.
Kaniomba vocha nimemtumia 10,000 kwa kwa maumivu kidume mimi.
Eti ananibeep nampigia anasema asante nimepata vocha.
Yaani kashindwa hata kunipigia tuuuuu?
Au kamfowadia mtu?
Kanishangaza sana wadau mnasemje?
20:20:00 Unknown 0 Comments
Nakushukuru kwa kunipa nafasi hii adimu sana ya kufurahi, kuelimika na kubadilishana mawazo. Nitafurahi sana kama utaniachia comment hapo chini ili nijue kama habari,ucheshi, simulizi na vioja vioja hivi vimekupa siku yako kuwa BOMBA. Kumbuka nawe waweza share nami chochote ulichonacho kwa kunicheki kupitia whatsapp kwa namba 0713317171 au kupitia comment. Asante.
0 comments: