Kuna mdada hapa mtaani namsikia anamsifu mumewe sasna sana.....Nafikiri na mabinti wengine waige mfano huu

11:25:00 Unknown 0 Comments

Kuna mdada hapa mtaani namsikia anamsifu mumewe kuwa hakuna mwanaume muaminifu kama mumewe, kwa kuwa toka jamaa kanunua simu ni mwaka wa 3 na kila akiaangalia simu, Inbox- Empty, Sent Items- Empty, Outbox- Empty...naomba tumpigie makofi mdada huyu

You Might Also Like

0 comments: