Wanasayansi wa mbeya wagundua adhabu za jehanamu

11:24:00 Unknown 0 Comments

Mama mmoja alipelekwa mbinguni na malaika,walipofika akamwonyeshea saa nyingi za ukutani,akamwambia kila binadamu ana saa yake,mshale wa saa unazunguka kutokana na dhambi zako,zikiwa nyingi unazunguka kwa speed,akamwonyeshea saa za kina mtume Paulo,zinaenda taratibu,mama akamwambia naomba nione saa ya mme wangu,malaika akajibu ''saa ya mme wako ipo chumbani kwa Malaika mkuu inatumika kama feni'

You Might Also Like

0 comments: