Kwenu mabinti,kabla ya kutanua miguu kwa wanaume waliooa tafadhali soma hapa:
15:32:00
Unknown
0 Comments
15:32:00 Unknown 0 Comments
1. Kitu anachokitaka kwako ni sex tu. Atakuja na kuondoka kurudi kwa mkewe na familia yake.
2. Hawezi kumuacha mkewe na familia yake kwa ajili ya wewe labda awe mbulula wakuja
3. Ataonyesha anakupenda lakini kumbuka hauko peke yako
4. Baada ya kukutumia atakuacha na kumfuata mwingine
5. Na kamwe hutoweza kumfanyia lolote zaidi ya kuwa hauna uhuru naye
6. Kumtegea mimba haitakuwa suluhu ya yeye kukupenda bado anafamilia na inamhitaji
7. Mali na fedha vyote ni vya yeye na familia yake na wewe utaendelea kufaidi chipsi kuku tu na kutoa huduma
8. Kamwe haupo katika mipango yake ya baadaye
9. Baada ya kibuti na kukuacha hautakuwa na la ziada zaidi ya kuburudishwa na Tabasamu na Fuledi
Fuledi Mwagito
Nakushukuru kwa kunipa nafasi hii adimu sana ya kufurahi, kuelimika na kubadilishana mawazo. Nitafurahi sana kama utaniachia comment hapo chini ili nijue kama habari,ucheshi, simulizi na vioja vioja hivi vimekupa siku yako kuwa BOMBA. Kumbuka nawe waweza share nami chochote ulichonacho kwa kunicheki kupitia whatsapp kwa namba 0713317171 au kupitia comment. Asante.


0 comments: