Mara nyingi najiuliza mwanaume akitoka nje ya ndoa haipewi uzito sana kama ni kosa ingawa ni kosa..... ila mwanamke atoke tu ni shida

22:03:00 Unknown 0 Comments

Mara nyingi najiuliza mwanaume akitoka nje ya ndoa haipewi uzito sana kama ni kosa ingawa ni kosa.
Sasa upande wa mwanamke akitoka nje ya ndoa jamii kwa ujumla inamwona ni malaya sana tena huchukiwa.
Najiuliza wote wanaleta magonjwa ndani wakifanya hivyo,sasa kwanini mwanamke huonekana amekosea zaidi?
Mbaya zaidi utakuta mwanaume anatoka nje mara nyingi na mwanamke akifanya mara moja tu huonekana ni mchafu zaidi.
Marafiki naomba mnisaidie comment hapa tatizo ni nini?
LikeLike ·  · 
  • Mwajuma Miraji Uelewa mdogo na kuish kwa mazoea ya kumwona mwnamke n dhaif cku zte hyo inapelekea iktokea ishu kama hyo aonekane malaya tofaut na mwanaume ambaye anaonekana mbabe cku zote...!maybe
    5 hrs · Like
  • Fred Kihwele Aiseeee
    5 hrs · Like · 1
  • Antonia Milinga Nahis ni tamaduni zetu au mfumo pia vinachangia
    5 hrs · Like
  • Pricila FH KIKUBWA NIMFUMO DUME KAMA TUNAVOSEMA ETI MWANAUME NIKICHWA CHA FAMILIA NDIO MAANA HATA WAKIFANYA UMALAYA WANAONEKANA WAKO SAHIHI ! UTAMADUNI M BOVU
    4 hrs · Like
  • Eva Kanyiki Lakini jaman ukweli ni kwamba hata vitabu vya dini vinasema mwanamme hata mwacha mkewe isipokuwa kwa zinaa. Inamaana mwanamke makosa mengine yanakosoleka ila tu ukifumwa mwenzangu umechepuka ndo bai bai lelooo
    4 hrs · Like
  • Addo Mhagama Mwanamke Kama Jalala Hutupiwa Kila La Kutupwa,mimba Nk, Jaman Hata Suala La Wiz Anayesutwa Si Anayekutwa Na Mali? Vilevile Wanaume Hufuata Na Wao Hufuatwa Kwa Wingi,mume Akipata Kibuti Hawez Fuata Kirahisi Hujiuliza Kwanza Kwa Muda,lkn Mke Anatupiwa Swaga Na Watu Mblmbl Akiwa Takeble Basi Majanga,
    3 hrs · Like
  • Debora Israel Ndio maana tumeambiwa wanawake tunaweza lazima tuwe na nguvu kama wanaume kinachotufanya tunyanyaswe kuwategemea sana wanaume ukiwa na msimamo wako atakuheshimu tu hata kuchepuka ataogopa sasa anakuona tegemezi atafanya atakavyo
    1 hr · Unlike · 1
  • Baraka Mengele gender inequality
    1 hr · Like
  • Remmy Hamis mwanamke haruhusiwi kuwa na mwanaume zaid ya mmoja ila kwa kidume poa 2

You Might Also Like

0 comments: