Yaani Wanaume wengine ni feki kabisa
Yaani Wanaume wengine ni feki kabisa,na kwakweli mnatuaibisha kwa uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo kuliko mbegu ya Uyoga
Yaani unakaa na mtoto wa watu miaka 5 uchumba,ushamfunua-funua mtoto wa watu kama Sufuria la Pilau msibani,unamjua mwili wake kama unavyojua mabeti ya wimbo wa Taifa,mtoto wa watu amekunja nne ametulia anajua ndoa inafuata soon halafu wewe ghafla tu unakuja kumzingua na kutangaza
ndoa na mtu mwingine.
Akikuuliza sababu ya kumuacha yeye mataa unasema siwezi kuoa Mwanamke hajui kukatika kitandani nataka kuoa fundi wa kumiliki kitanda,Ulimfundisha??
Kwani unaoa mtu wa kujenga Familia au unaoa mke wa kwenda kufungua bendi??Maana kama nia yako ni kupata mke anayekatika basi ungeenda kuoa Wanenguaji kwenye bendi ya Akudo Impact.
Mnaumiza watoto wa watu kibwegebwege na sababu za kikuku-kuku,Kwani utakula kiuno all ur life?Au utajenga familia huku mnakatika??Grow up,ur motives are wrong na ndoa zenu zitakuwa wrong milele.Nimemaliza Mimi!! tupia wazo lako kuhusu hili.......
0 comments: