Aina ya watu facebook
1.COMPLAINERS-Hawa yaani umeme usikatike,ukikatika kidogo tu lazima wa update status wakilalamika kuhusu umeme na kenya power2.PREACHERS-Hawa kila ijumaa/jumapili ujifanya wameguswa sana,utaona wameupdate >jumaa kareem< >blessed sunday< wanatoa status za dini tu
3.CONFUSED-Hawa utakuta leo single,kesho married,kesho kutwa single.Leo current city-mombasa,kesho dubai,kesho kutwa-Dar
4.WEATHER FORECASTERS-Hawa kila hali ya hewa lazma wa update >Lo! leo kuna joto<
>Hii baridi imezidi sana<
5.TRAVELERS-Kila wiki lazima atoe status ya kusafiri >kesho nitakuwa ndani ya dubai<
baada ya wiki utaona >Narudi zangu zanzibar< wiki ifuatayo >going to London<
6.UNHEALTY LOT-Hawa kila siku ni wagonjwa tu,status zao ni mara nina headache,mara stomachache,kila siku wanaumwa
7.NIGHTRUNNERS-Hawa hawalali kabixa,kila ifikapo saa sita usiku wana update >Nani hajalala ka mimi<
kesho yake >Not sleepy at all whoz awake<
8.BEEFERS-Hawa matusi na bifu ndio zao,wanangoja mtu(xpecially admins) wa post upuuzi ili waanze kumtusi
0 comments: