Mambo kumi ya kuyafanya kabla ya kuamua kuoa
1. Tafuta hela
2. Make sure you have enough money
3. Uwe na ATM card yenye balance ya kutosha
4. Lazima uwe na account bank
5. Hakikisha una saving kubwa
6. Kuwa na mtaji wa kuolea
7. Haki ya nani tena hakikisha ngawira ipo
8. Asikudanganye mtu lazima mfuko uwe safi
9. Uwe na uhusiano na Tigo Pesa,Mpesa, bank etc
10. Soma vizuri namba 1,2,3,4,5,6,7,8,na 9
0 comments: