Haki ya nani tena mmoja anaingia na mwingine anatoka

10:37:00 Unknown 0 Comments






Blog ya Tabasamu na Fuledi inapenda kumpongeza bwana Shaddy kwa kuona kuna umuhimu wa kutambua kazi tunayoifanya na kukiri kosa lake.

Ni kweli visa vya Fuledi vimekuwa vikitumika sehemu mbalimbali bila hata ya kutoa credit jambo ambalo pamoja na kuwa kinyume na c\sheria za uandishi pia ni uharamia wa mtandaoni.

Visa hivi vinatungwa na timu ya Fuledi na lengo kubwa ni kuburudisha na kuelimisha na pia ikiwa ni njia ya ajira.

Hivyo basi ni vyema mtu akawasiliana nasi kuliko kuamuaq kuvitumia bila ruhusa au bila ya kutoa credit kwa wahusika.

Tunasikitishwa pia na wamiliki wa Blog ya BONGOCLAN ambao wao wamekuwa wakiiba visa vyetu na kuvitumia kama vyao na hata tunapojaribu kuwasiliana anao wanaonekana kuwa hawako tayari kuelewa.

Ni vyema wakaamini kuwa wanachokifanya sio sahihi.

Chini ni baadhi ya kazi zetu walizojimiliksha










You Might Also Like

0 comments: