Dan akajibu nipo chooni nikutumie nini?

10:04:00 Unknown 0 Comments

Salome alikuwa akipita mataani na kumwona mpenzi wake Dan akiwa kwenye foleni ya kungojea kutoa fredha kwenye ATM.

Akajificha na kuandika meseji kimwambia dan, " mpenzi kama umelala nitumie ndoto, kama unakula nitumie chakula, kama umafurahi nitumie kicheko, kama una lia nitumie machozi na kama upo kwenye ATM unatoa fedha nitumie fedha.

Dan akajibu nipo chooni nikutumie nini?

You Might Also Like

0 comments: