Ingekuwa FB imeanza kutumika enzi za Mwalimu, postings zingekuwa hivi:-
Ingekuwa FB imeanza kutumika enzi za Mwalimu, postings zingekuwa hivi:-- Thanks God duka la kaya leo wameleta sukari, nimebahatika kupata kilo mbili
- Mjomba alienda mpakani kaninunulia Jeans mbona watakoma
- Serikali imepiga marufuku stageshow
- Mama Chausiku leo kapata bia kreti mbili ngoja niwahi nipate japo kabia kamoja
-Dah jirani yangu katajwa kwenye Mikingamo
- Nimekamatwa na sabuni tati za Lux nimefunguliwa kesi ya uhujumu uchumi
- I was lucky nimepata mikate ya siha miwili
- Kesho matembezi ya mshikamano wahini kulala
0 comments: