MAKOSA WAYAFANYAYO WANAUME WALIOOA....
1- Kutumia nguo nzuri au taulo la mwilini kufutia gari.2-Kuingia ndani na viatu vya matope wakati kumeshadekiwa
3-Kuvurugua nguo au vitu wakati wa kutafuta kitu kabla ya kuuliza kilipo.
4-Kuacha magazeti yanazagaa chini baada ya kuyasoma.
5-Kumleta rafiki yake kuja kula bila kutoa taarifa.
6-Kumsifia rafiki au ndugu wa mke wa kike kuwa anavutia bila hofu.
7-Kukosoa muonekano wa mke bila kujali atajisikiaje.
8-Kutosema chochote mke akipendeza mpaka aulize.
9- Kujifutia taulo na kuliacha ovyo bila kulianika
10- Kutotandika bed mke asafiripo na kugeuza bed kama kiota cha ndege
11-Kutofua boxer na socks zake hadi wife awepo na kama kasafiri zitasubiri arudi
0 comments: