BABU: Mamaaa, nyokaaa ananing'ata nakufaaa!

08:40:00 Unknown 0 Comments

sista du akiwa na begi kakaa siti moja na babu huku du akiendelea kuandika sms kwa mpenzi wake kwenye simu yake. Babu akajisogeza jirani ili asome ile sms, sista du kuona vile akabadili maneno akaandika hivi
"hivi huyu nyoka mulimtoa meno? Maana naona anataka kutoka kwenye begi na nimekaa jirani na mbabu mmoja, anatikisikatikisika huyu nyoka" yule babu kusoma vile akaamua kujisogeza pembeni, ghafla sista du akamrushia babu kile kibegi!
BABU: Mamaaa, nyokaaa ananing'ata nakufaaa!
SISTA DU: ukome kusoma meseji za watu, babu mzima unakuwa mmbea kama mwanamke.

You Might Also Like

0 comments: